Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,717 Reaction score 11,331 Nov 10, 2015 #21 mahoza said: Huyo ameendekeza starehe hata kwenye D League hayupo tena. Ametusikitisha nafasi aliyopata kaichezea. Wenzie wako mbali. Click to expand... Upo Marekani unawaza Papuchi za akina Wema utashuka tu,Samatta na Ulimwengu ndo Majembe yetu kwa Sasa
mahoza said: Huyo ameendekeza starehe hata kwenye D League hayupo tena. Ametusikitisha nafasi aliyopata kaichezea. Wenzie wako mbali. Click to expand... Upo Marekani unawaza Papuchi za akina Wema utashuka tu,Samatta na Ulimwengu ndo Majembe yetu kwa Sasa
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,809 Nov 10, 2015 #22 Wema ndo kila kitu katika sanaa ya bongo
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 196 Nov 10, 2015 #23 Diamond platnumz ndo Jembe lao hakuna zaidi ya Platnumz kati ya miongoni ya hao wote tajwa hapo juu na mtoa mada na wachangiaji mawazo yalo ya kweli.
Diamond platnumz ndo Jembe lao hakuna zaidi ya Platnumz kati ya miongoni ya hao wote tajwa hapo juu na mtoa mada na wachangiaji mawazo yalo ya kweli.
P peace 22 Member Joined Oct 21, 2015 Posts 14 Reaction score 2 Nov 10, 2015 #24 Hadith hz.!0000000 tupu!!!! Hamna kipya,wapo nawamekaa kimya.!!!mme kalili tuzooooo! Hapa kz tu.unjanja kwa 🔐haupo tn.ukweli utajulikana kipind hiki!!!!!!!
Hadith hz.!0000000 tupu!!!! Hamna kipya,wapo nawamekaa kimya.!!!mme kalili tuzooooo! Hapa kz tu.unjanja kwa 🔐haupo tn.ukweli utajulikana kipind hiki!!!!!!!
Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 196 Nov 10, 2015 #25 so kukariri Tuzo yenyewe yajionesha na umenena kweli na mengi yaja kwa kipindi hiki cha Magufuli diamond platnumz atafanya miujiza ndani ya bongo na nje ya bongo zaidi ya Tuzo. Itaitwa diamondPlatnumz' Miracles. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
so kukariri Tuzo yenyewe yajionesha na umenena kweli na mengi yaja kwa kipindi hiki cha Magufuli diamond platnumz atafanya miujiza ndani ya bongo na nje ya bongo zaidi ya Tuzo. Itaitwa diamondPlatnumz' Miracles.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,766 Nov 10, 2015 #26 Abastian said: Je, serikali inatambua kazi za hawa ndugu zetu au kuna kitu wanapata/wanatoa katika kazi za hawa ndugu zetu!!? Click to expand... Sijaelewa mantiki ya hii topic, serikali inatakiwa kutambua hata kazi za madereva wa daladala. Sasa nyoosha maelezo, ulikuwa unataka kuuliza nini?
Abastian said: Je, serikali inatambua kazi za hawa ndugu zetu au kuna kitu wanapata/wanatoa katika kazi za hawa ndugu zetu!!? Click to expand... Sijaelewa mantiki ya hii topic, serikali inatakiwa kutambua hata kazi za madereva wa daladala. Sasa nyoosha maelezo, ulikuwa unataka kuuliza nini?