STEVE NYERERE NI MSANII WA NINI?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,714
Nimekuwa namsikia bw.Steve Nyerere kuwa ni Msanii.Naomba kujua ni msanii wa nini?Kama ni wa Muziki ni nyimbo zipi ametunga? Kama ni Movies je ni movies zipi ameshiriki? Maana ukisikia wasanii wamealikwa Ikulu na yeye yupo.Tafadhani anayejua atujuze
 
Ni msanii wa maigizo...!
 
Wa kukusanya rambi rambi za watu maarufu na kuingia nazo mitini na pia huwa anakodishwa kwenda kulia kwenye misiba ya watu
 
pia huwa anaigiza anafanya ulozi kwa wasanii wenzake!!!!!!!!!!!1
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…