Ila simba mnajitahidi sana kubadilisha makocha! Kama makocha ndiyo wangekuwa ni makombe, basi mpaka muda huu mngekuwa mna idadi kubwa zaidi kuliko timu nyingine yoyote ile kwenye ligi yetu.
Nishaacha kushabikia Simba....huyo kocha mwezi March 2026 wanampiga chini pia,wakati huo michezaji ndio ileile mipoteza Chance za kufunga,mikosa utulivu wawapo jirani na lango la mpinzani, mibinafsi kina Mpanzu,na kibu D,
Simba Ina wachezaji wa bei rahisi na wanaoridhika mapema tofauti na wapinzani wao japo timu yao inabebwa na wachezaji watatu,ila wanajituma balaa.
Madrid walibadili mtaalamu wa Chakula kwa sababu ya wachezaji kutokua imara kwenye kupambania mpira huyo Dr anacheza namba ngapi inatakiwa ujue mpira sio kuandika andika tu vitu..