Stephen Wassira jipime kwa hili

Stephen Wassira jipime kwa hili

simba wa mara

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2015
Posts
377
Reaction score
59
Mimi kama mwenyeji wa Bunda na mzaliwa wa hapa jana nilitamani nimulize mzee Wasira swali lakini ningempa shida sasaa leo naliweka hewani.

Kwa mujibu wa takwimu inasemekana Bunda ni wilaya maskini kuliko zote na hii wilaya ina mifugo na inalimwa mazao kama pamba na mengneyo na huyu mzee anatokea Bunda.

Sasa anataka urais wa nchi.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
IMG_5453.JPG
 
Sijaona swali hapo. Labda ungemkumbusha tu kluwa yeye alishawahi kuukumiwa kwa kutoa rushwa...kwahiyo kauli yake ya kuchukia rushwa ni ya kinafilki. Alitakiwa kiusema kuwa ametubu na sasa hatatoa tena rushwa na amekuwa askari wa kupambana na rushwa na ufisadi! lakini lazima akiri kwanza kwamnba alishahukumiwa kwa kura; kuendelea kukana ni kudanganya.
 
bunda muendelee kuwa maskini tu sb miccm
 
Back
Top Bottom