Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Mkuu naomba unifahamishe nikishaagiza mzigo alibaba naulipia vipi na mzigo wangu naupataje?
 
Mkuu naomba unifahamishe nikishaagiza mzigo alibaba naulipia vipi na mzigo wangu naupataje?
kila bidhaa ukiona alibaba mara nyingi bei zinawekwa ni za chini lakini sio halisi ukishaona mzigo unaweka order na seller ataconfirm atakwambia bei ya bidhaa na shipping utalipia mzigo kwaajili ya kuanza kusafirishwa ila mtaji wake inatakiwa uwe na na kwanzia dolla 2000
 
realinvestor1981@gmail.com
 
I have another business proposal sir. please could you allow me present it to you. my active contacts are +255743330874
 
Ivi ukitaka kuagiza bidhaa na Wakamwambia wanakutumia kupitia posta. Huwa wanaposta zao au ni lazima wewe uwe na posta number yako. Naomba kujuzwa Tafadhali
 
Jamani mimi nimeshindwa kukaza adress na kujua ni kwamba lazima uwe na posta box LA kwako Ili mzigo ukufikie au. Naombeni kueleweshwa jamani
 
Asante sana....God bless you.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…