Ndo maana akasema kwa mitandao. Aisee asiye na access hata ya airtel money mpesa tigo pesa huyo ni mfu kabisa. Maake hizi huduma zimekuwa msaada hadi vijijini. Na Iinaonyesha takribani kuna zaidi ya namba za simu million 14. Kwa haraka haraka pale ubungo sizani hata kuna wasafiri zaidi ya 20000 kila siku. Hili litawezekana. Katika hatua za maendeleo ukisema usubilie wote au usikie vilio vya wote hutopiga hatua yeyote. Tuliona malalamiko mengii kipindi serikali ilipoanza kuzima mitandao ya analog ila sasa hivi kimyaaa na maisha yanaendaHii itakuwa ngum kidogo maana watanzania wachache wenye access ya mtandao....
Ndo maana akasema kwa mitandao. Aisee asiye na access hata ya airtel money mpesa tigo pesa huyo ni mfu kabisa. Maake hizi huduma zimekuwa msaada hadi vijijini. Na Iinaonyesha takribani kuna zaidi ya namba za simu million 14. Kwa haraka haraka pale ubungo sizani hata kuna wasafiri zaidi ya 20000 kila siku. Hili litawezekana. Katika hatua za maendeleo ukisema usubilie wote au usikie vilio vya wote hutopiga hatua yeyote. Tuliona malalamiko mengii kipindi serikali ilipoanza kuzima mitandao ya analog ila sasa hivi kimyaaa na maisha yanaenda
Niwewe tu ukifika pale ukalegeza watakusumbua,wewe ukifika pale piga mwendo wacha kushangaa na anaye kufuata mpatie makavu,hawata kufuata.