stefano university moshi

Kzur xna n cha kkkt ila msuli mkubwa. cjui waenda koz gan. kuna campus 3, masoka,mjini na mwika
 
mhhhh stefano moshi pale chenga tupu nenda kama una roho ya paka, pako kama nyumbani kwa mtu
 
Mi ninasoma hapa stephano moshi ndio naingia mwaka wa tatu,dogo tafuta chuo kingine usije ukarogwa uje hapa utajuta!kiufupi kina matatizo lukuki ikiwemo ma lecturel wa kuungaunga! kama huamini maneno yangu we njoo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…