Stay Positive And Never Give Up

kiimani tuishi kupambana na maisha kama tutakufa kesho,kidunia tupambane na maisha as if tutaishi milele.....
aksanteh mkuu..
ila hiyo avitar yako sjaielewa mkuu...!!!
 
Ameen kubwa kwako mkuu,haya maneno yana maana kubwa sana,sana sana kipindi hiki
ni kweli kaka,kwenye ulimwengu wa saikolojia wanasema maneno ni kama bunduki iliyojazwa risasi tayari,yanaweza kukuua au kukuponya,maneno ni zaid ya risasi,unaweza mwambia neno mtu likakaa hata miaka kumi kichwani bila wewe mnenaji kujua.mi nakumbuka kuna neno niliambiwaga na mzazi wangu mika 20 iliyopita hadi leo huwa silishau
 
kiimani tuishi kupambana na maisha kama tutakufa kesho,kidunia tupambane na maisha as if tutaishi milele.....
aksanteh mkuu..
ila hiyo avitar yako sjaielewa mkuu...!!!
hahha ya kawaida tuu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…