jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Fanya upendalo ambalo halivinji haki ya mwingineUlimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.
Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?
Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?
Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?
Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Acha makasiriko....Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.
Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?
Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?
Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?
Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Nina status 500+ hapa naona vipicha vya Pele na sija view hata moja maaanina
Pele ni icon kubwa kwenye field yake, kwa wanaopenda michezo, hasa soka hata kwa kiwango kidogo huyu ni nguli ambaye anajulikana kwenye dunia ya wapenda soka. Naungana na wapenda soka ktk hili.Wa Pele.
Umeshindwa kujificha.
yeah,Acha makasiriko....
Unauliza nani ataona status...?
Mbona wewe umeiona au wengine hawana macho.
Lengo ni kupashana habari....
Mtu amezaliwa 2002, akaanza kusikia habari za Pele na akavutiwa nazo.
Now amesikia pele ame R.I.P.....
Siyo mbaya akimpost .
KWANZA SIO DHAMBI.
Mmeanza hahaaw
WView attachment 1235533
Lakini bro si uko shopping ya nguo.. why this wanaume View attachment 1271687
Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.
Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?
Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?
Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?
Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Nashangaaa ,najiulizaa ni ulimbukenii ama ni nini hivi ukiwa na huzuni kupita kiasi utaweka hata status,mtu huyo ukimwuliza tu pele ana wastani wa goal ngapi kwa match moja hana jibu ila anataka kuonekana anajua vitu
Daaah apumzike kwa amani
Utoto na ujinga mwingi
Neno kufuata mkumbo limewafaa hao
Neno R.I.P kwa jamii nyingi za Afrika hasa watanzania limekuwa kama Fashion.
Wengi hupost kama fashion wala si kwa nia ya kusikitika
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni ulimbukeni tu
Nina status 500+ hapa naona vipicha vya Pele na sija view hata moja maaanina
Kwani kuna tatizo gani hata wakiweka? Hekima yako ikuongoze kuheshimu maamuzi ya wengine pia,kwakuwa wewe hayakuathiri moja kwa moja kwa maisha yako.Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.
Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?
Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?
Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?
Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Acha makasiriko....
Unauliza nani ataona status...?
Mbona wewe umeiona au wengine hawana macho.
Lengo ni kupashana habari....
Mtu amezaliwa 2002, akaanza kusikia habari za Pele na akavutiwa nazo.
Now amesikia pele ame R.I.P.....
Siyo mbaya akimpost .
KWANZA SIO DHAMBI.
Sasa mkuu simu ni zao,acaunt ni zao, bando ni zao sasa kinacho kuuma ni nn?Hoja hujapo si lazima ijadiliwe kwa kuwekiana majina, hoja sio personal.
Sijasema nani bora ya mwingine.
Nimeuliza maswali kulingana na kinachoendelea.
Wivu tu huo mwanae wa kumzaa wa kike nae kapost mtandaoni kamuulize huyo kwanzaNashangaaa ,najiulizaa ni ulimbukenii ama ni nini hivi ukiwa na huzuni kupita kiasi utaweka hata status,mtu huyo ukimwuliza tu pele ana wastani wa goal ngapi kwa match moja hana jibu ila anataka kuonekana anajua vitu
Daaah apumzike kwa amani