@mrishosalma Viongozi walio kwenye Halmashauri hawana uzalendo wala uadilifu ni ubinafsi tuu umewajaa 'wajirekebishe'na wawe wawajibikaji
Mlawa Zahir bado hakuna uwajibishwaji watu wanaiba wanahamishiwa wilaya nyingine na huko wanaendeleza mchezo uleule hawa wanamtandao mkubwa ndio maana wanalindana,wabadhirifu waondoshwe kazini na wapelekwe mahakamani serikali itunge sheria ya kuwabana hao watu bika hivyo hakuna kitu
Simon Mwangoka Mwasile Madiwani wa mwanza wamethubutu, wabunge kwao ni ngumu kwa vile wao kwao zaidi itikadi za vyama mbele na si taifa! Ndiyo maana utasikia katibu wa wabunge wa ccm Jenista anaitisha caucus ya ccm kwenda kuwatishia wabunge wa ukweli kama Filikunjombe, Lugola.
Peter J Mwita Kafulisha alishasema,'nchi hii imebakwa',hapa cha msingi serikali iweze kuwa na maamuzi magumu kama ya kuwachukulia hatua kali viongozi wasio wajibika,mfano kifungo jela au kufilisiwa mali zao iwe mfano kwa wengine ila hii mambo ya kubebana haifai wenzetu china ukikamatwa unapokea au kuchukua rushwa unanyongwa kwa nini tusiige huu mfano!
Isaya R Mahujilo Tatizo ni hizi 10% while raia ndo wanataseka after madudu kufanyika harimasharini,kuwajibishwa kwake eti anajihuzuru tu bhaasi na chinichi wanaendelea kupeana michongo
dsm wapo watu gani? na dodoma je?Studio Mwanza yupo Yahya.
Mgeni Mwanza ni Mr Boniface
Karibuni
Ni Kada wa CCM na mtendaji wa Halmashauri ya Bunda
Yahya, tusaidie tafadhali
dsm wapo watu gani? na dodoma je?