Startimes mobile: Naomba mnijuze

T3RN3K

Member
Joined
May 30, 2011
Posts
92
Reaction score
56
nmesikia juu juu kuhusu startimres mobile phone, plz naombeni mnijuze, inatumia nn kudaka signals, internet au satelite!! na kama internet ntaipata service hyo kwa other phones
 
Inakua tayari ndani inamfumo wa kupokea signal za digital kama decoder zao sidhani kama wanatumia internet wala satellite ni hiyo minara tu jaribu ku google tdmb au dvb-h mana sijajua wao wanatumia ipi
 
Hzo Vtu Mozambiq Zpo Tangu Mda Mref Kdogoooo!! tz Wamechelewa Kuzletaaaa!!
 
IKiwa ordinary antennas ambazo zipo stand still zina-miss frequencies after every 0.5 minute...what about pale unapokuwa unatembea? Si kila wakati utakuwa unapishana na frequencies!!
 
IKiwa ordinary antennas ambazo zipo stand still zina-miss frequencies after every 0.5 minute...what about pale unapokuwa unatembea? Si kila wakati utakuwa unapishana na frequencies!!

Nikisikia startimes naanza kuwaza mambo haya:
1. poor quality
2. Problems, problems problems
3.......
 
Nikisikia startimes naanza kuwaza mambo haya:
1. poor quality
2. Problems, problems problems
3.......

Mkuu digtek nao wamekuja na kauli mbiu kuwa '' digitek ni nzuri kama STARTIMES,ZUKU NA DSTV'' hapo kwenye star times nimewaambia wanawakejeli watanzania na inawezekana cha kwao ni bomu kuliko startimes. Kuhusu startimes mobile nadhani jamaa wanataka kukimbia wakati hata kutembea hawawezi
 
asanten wakuu, nimeenda ofisin kwao leo kuzichek, haz2mii internet kumbe, zinatumia antenna ndogo, yani haina tofaut ni yale masimu ya kichina yenye tv! halaf it is very thick, something which is out of fashion! and much worse, it is not a smart phone, it just a portable tv with some phone functionalities! kwa upande wangu sijaipenda though its price inaendana na quality ya simu, its 86000tsh if not 890000!!!
 

Whaat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…