Startimes mnatuzulumu wateja wenu wa 2012

Startimes mnatuzulumu wateja wenu wa 2012

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,939
Reaction score
8,883
Walituambia Channel za ndani zitakuwa Bure tukanunua Vingamuzi. Leo hii StarTimes Tanzania wanatuambia tulipie 40000/= kuona channel za ndani. Utapeli wa kiwango kikibwa sana huu.


Mkataba wao ulikuwa ni kuonyesha za Ndani Bure. Tukanunua Vingamuzi 70,000/= tumekuwa tukiwachangia kwa kununua vifurushi mbali mbali sasa leo hii wanataka tulipie 40k tena si bora kununua kipya? Kwa nini watuibie?

Juzi nimeingia dukani kwao nikakuta mmama anasaidiwa kuondoa parental controls akatozwa 5000/= wakati mkataba unasema matengenezo ni bure kwa muda wote.

Nilienda kuulizia kwa nini channel fulani haina sauti wakati nyingine zinazo wananilazimisha niende na kisimbuzi. Najua wanataka wanikamue siendi.

Mnakotupeleka siko.

Nawasilisha.
 
Aisee pole sana!!
Mi siku iz Taarifa ya habari nasikiliza kwenye radio🙄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom