Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,897
- 4,313
Kwanini ishindikane chief ikiwa tuliweza kuhamia digital iweje ishindikane kurudi analogyMkuu una ndoto za kurudi analojia? Sahau kabisa hiyo
Tatizo mchina kamuachia msuahili aendesheHao Wachina ni matapeli daraja la KWANZA.
Mama yangu alipata shida ya king'amuzi, nikaenda kuwapelekea, wakanijibu kuwa nitoe 35,000/- 20'000/ Ni kifurushi na 15'000/- ufundi.
Nikarudi nacho home nikiwa na chenzake, kutoka Azam. Nikamuunganishia bi mkubwa anashangaa anaona vitu tofauti na vizuri zaidi.
Kwanza Startimes ililetwa na ma CCM ili tunyonywe.
Rejea mkataba mchafu unaofichwa Sana wa TBC NA STARTIMES
Kabisa mkuu, yaani wamekaa kipigaji sana na hii yote kwasababu wanyonge ndiyo tunaitumia kisembusi chao.Akitokea mjanja anawashtaki hawa anakua billionaire.
Tupe mbinuMie ndio maana nilikichakachua , sasa hivi channel zote naona tena freee kabisa
Mchina ndo anaongoza kwenye mismanagement, Bora hata MswahiliTatizo mchina kamuachia msuahili aendeshe
Ahsante mkuuPole mwananchi masikini....
Mkuu tatizo umaskiniNa Nyie mnatumia mavisimbusi ya ajabu² Kama nn
Wapo humu mkuu watakusikia na si ajabu hata huu uzi wanaupitia kimyakimyaMie ndio maana nilikichakachua , sasa hivi channel zote naona tena freee kabisa