Kama wamelipwa haina shida......airtime yao inalipiwa kibiashara zaidi ila kama wamewatishia na kuomba free airtime hapo ndio mbaya sana!!!tutapenda kujua gharama za sherehe za mwaka huu!!!
Hawa watu kweli wanatumia vibaya pesa yetu ila kwa taarifa mimi nipo Mwanza na wananchi hasa vijana wenyewe wameenda KIRUMBA kwa nia moja tu kula pesa ambayo wenyewe wanaamini ni kodi yao ndo wanakwenda kuitumia na si pesa ya CCM wana mwanza wanasema leo wamemka wakiwa kirumba ila maisha yapo CDM ambako kwenyewe wanaendaga kwa gharama zao na si kwa kusombwa na Ma-FUSO kama inavyofanyika hapa Mwanza tangu jana,Pili wanaamini kuwa wadau wote waliojitolea ku-support sherehe hizi kama mzee wa Nyanza bottle LTD ni moja ya wakwepa kodi so wamesema leo wanakwenda kutumia pesa zao zilizo ibiwa na mafisadi.
Afu utashangaa kadi zitazo rudishwa leo ni za CDM tu kama kwamba vyama vingine havina wanachama mkoani mwanza.