Stars out

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,213
Reaction score
14,924
Kama kawaida, timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu imetolewa michuano ya CHAN na timu ya Taifa ya Rwanda.
Inasikitisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi kuna laana inatuandama akyanani
 
Tulishajiambia ni kichwa cha mwenda wazimu. Laana ndo ikaanzia hapo.
 
Sijui watanzania tumemkosea nini Mungu. Ukiondoa majungu, chuki na ukandamizaji wa demokrasia hakuna kitu tunachokimudu.
 
Kwahiyo kuna mwendawazimu alikaa akisubiri ushindi wa stars!? Like seriously!! Mnachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…