Starlet or gx100 inahitajika,bajeti ni 3m

Starlet or gx100 inahitajika,bajeti ni 3m

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Wakuu hizo gari tajwa hapo juu zinahitajika kwa hiyo bajeti
 
Hamna gari ya hio hela mkuu .... na ukiipata lazma itakua mbovu sana utakuwa unashinda garage kila cku.
 
Ulichotakiwa ni kutaja hiyo mil3 yako na kusema unatafuta gari, mambo ya kutaja pesa halafu unachagua na aina usitegemee kupata hizo gari, labda scraps za hizo gari!

we andika hata mil 1 bila kuwa specific, utaletewa tu gari!!
 
Ipo Daihatsu Storia (Toyota Duet) nataka 3.2m tu. ImageUploadedByJamiiForums1401642846.186089.jpg ImageUploadedByJamiiForums1401642913.578346.jpg


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
mkuu ipo ya 3m ila tairi zote zimeisha na mashine imenok..ila vitu vingine vipopoa sana
 
Mimi ninalo ila halina engine .... Labda ukanunue kwingine. NiPm fastaa tufanye biashara
 
Nipo Dar namba yangu ni 0784 234224


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Vp nipe namba yako,unapatikana wapi

ligolyser Kama hujapata kuna hili 5m, serviced, cash n drive.
Fuel economy 820cc, 4x4 drive, urban vehicle
Subaru. Pm kwa details zaidi. NB: ni gari ndogo.
(Morogoro)
 

Attachments

  • IMG_20140416_182015.jpg
    IMG_20140416_182015.jpg
    226.7 KB · Views: 239
Last edited by a moderator:
IPO corrola E 100 m 2.5 Kibaha auction text 0784166139 SMS me only Mimi kiziw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom