starehe ambazo mtu yeyote awe masikini au tajiri lazima azipate ni:-
1) Usingizi
2) Kula
3) Kujisaidia haja kubwa
4) Tendo la ndoa.
5) Kucheka
Katika hizo,starehe nzuri kuliko zote duniani ambayo mtu yeyote anapata bila kujalisha alivyo ni TENDO LA NDOA.