Starehe kuu za binadamu

Kibichi ama kikavu?
Kubangika loh ni maraha kwakweli moshi unapaa kama nyumba inaungua yani hadi medulla inafurahia
Moyo mweupeeee duniani kuna raha kwakweli
walale pema peponi marehemu wote
 
Mdau ni wewe,kwani mkuu katika hizo nilizozitaja niambie kuna ambayo huifanyagi ambayo unaiona ujinga
ambacho sifanyi ni kukaa chini na kuona kwamba ni topic ya kuongelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…