Star TV na mechi za Simba

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,843
Reaction score
10,768
Wakuu naweza kuwa nimekosea, lakinii mara zote mida ya saa 9 jioni televisheni ya Star huwa inaonesha marudio ya mechi za vodacom premier league. Kitu cha kushangaza ni kwamba mara zote huwa ni mechi zinazoihusisha Simba tu. Au Simba ina mkataba maalum na Star tv?
 
Mmmh mi sina uhakika ngoja niongane nawe kusubiri wadau watuhabarishe.
 
Acha uongo wako wewe, mbona mimi huwa naona wanarudia mechi za Taifa pamoja na za ligi ya Uingereza hizo za Simba labda huwa unazibahatisha mara moja moja.
 
Hata hivyo simba ndiyo timu inayocheza mpira wa kuvutia
 
Acha uongo wako wewe, mbona mimi huwa naona wanarudia mechi za Taifa pamoja na za ligi ya Uingereza hizo za Simba labda huwa unazibahatisha mara moja moja.


Nenda ukalale sasa.
 
Hata hivyo simba ndiyo timu inayocheza mpira wa kuvutia

Nasikia ndo maana walikwenda arabuni kujiandaa kukabiliana na Libolo kutoka Congo?
 
Nasikia ndo maana walikwenda arabuni kujiandaa kukabiliana na Libolo kutoka Congo?

Haujakosea mkuu ,kwa soka la kimataifa linye ushindani lazima kujiandaa
 
Why arabuni dhidi ya Libolo?

Man Utd wenyewe walikuwa uarabuni wiki iliyopita kujiandaa na madrid na mechi za ligi. Je una swali lingine??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Man Utd wenyewe walikuwa uarabuni wiki iliyopita kujiandaa na madrid na mechi za ligi. Je una swali lingine??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Like Simba like Man U!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…