Kuna ukweli. Karibu theluthi ya wafanyakazi wote hapo SAHARA wa vyeo vya juu katika sehemu ya habari ni wanachama wa CHADEMA.Nimekua nikufuatilia vipindi vya mahojiano ya Star Tv kuhusu Katiba mpya. Waandishi (wanaohoji) wanaonyesha wazi wapo katika mkakati wa kuinga mkono UKAWA maswali yao yote ni elekezi. Au ndio mkakati wa M/kiti mpya wa CDM kuiteka Star TV. Kwanza wanawaleta watu wenye kiwango cha chini sana cha uwezo wa uchambuzi na sanasana wanaonekana ni makada wa CDM. Mmoja alikua hata hajavua T-shirt yake ya mkutano mkuu wa CDM. Nyinyi watangazaji na mwandaaji wa vipindi hivyo mjue kazi zenu ziko chini ya kiwango. Tunataka kusikia hoja si msimamo wa kichama. Maswali yenu laini na ningemshauri CEO wenu amwajiri salama wa Mkasi ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.
Nimekua nikufuatilia vipindi vya mahojiano ya Star Tv kuhusu Katiba mpya. Waandishi (wanaohoji) wanaonyesha wazi wapo katika mkakati wa kuinga mkono UKAWA maswali yao yote ni elekezi. Au ndio mkakati wa M/kiti mpya wa CDM kuiteka Star TV. Kwanza wanawaleta watu wenye kiwango cha chini sana cha uwezo wa uchambuzi na sanasana wanaonekana ni makada wa CDM. Mmoja alikua hata hajavua T-shirt yake ya mkutano mkuu wa CDM. Nyinyi watangazaji na mwandaaji wa vipindi hivyo mjue kazi zenu ziko chini ya kiwango. Tunataka kusikia hoja si msimamo wa kichama. Maswali yenu laini na ningemshauri CEO wenu amwajiri salama wa Mkasi ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.
Nimekua nikufuatilia vipindi vya mahojiano ya Star Tv kuhusu Katiba mpya. Waandishi (wanaohoji) wanaonyesha wazi wapo katika mkakati wa kuinga mkono UKAWA maswali yao yote ni elekezi. Au ndio mkakati wa M/kiti mpya wa CDM kuiteka Star TV. Kwanza wanawaleta watu wenye kiwango cha chini sana cha uwezo wa uchambuzi na sanasana wanaonekana ni makada wa CDM. Mmoja alikua hata hajavua T-shirt yake ya mkutano mkuu wa CDM. Nyinyi watangazaji na mwandaaji wa vipindi hivyo mjue kazi zenu ziko chini ya kiwango. Tunataka kusikia hoja si msimamo wa kichama. Maswali yenu laini na ningemshauri CEO wenu amwajiri salama wa Mkasi ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.
Umeongea point na ukwel ulivyo,, sijaona tatzo kwa watangazaji ila nilichogundua ni kwamba chama tawala na wafuac wake hawatak kukubali kirahic kama this is new eraUkiwa critical lazima uonekane mwanachama au mnazi wa UKAWA ukiwa zuzu unaonekana mwana ccm,kwa mfano pale mh sitta anapoamua kuwapigia simu watu walio katika ibada eneo takatifu halafu awaulize kama wanakubali katiba,sasa sijui ataweka loud speaker? Tutajuaje kama mpokea simu ni yeye ama la? Na kwa nini umpigie simu mtu aliyeko msikitini anaswali?katiba imekuwa dharura as if nchi hii imetoka katika mapinduzi ya kijeshi inahitaji immediate rescue, kanuni inasema kura ipigwe ibara kwa ibara,sitta anasema ipigwe kwa sura,anawahi nini?aliyemwambia watanzania wana dharura kiasi hicho na hawawezi kulipia bunge la katiba hata miaka kumi ni nani? Kenya wametunga katiba kwa miaka saba,tanzania kwa kuwa spika ana gratuity ya milioni mia hamsini akimaliza kazi,analazimisha kazi iishe ili azipate, STAR TV IMEJAA WANAHABARI VIJANA,WAKIWEMO MABINTI AMBAO WANAFANYA INTERVIEW NZURI,ni jukumu la diallo kila mwaka kuwaletea mmoja kati ya waandishi mahiri africa kuwapa more practicals,otherwise nimempenda anavyowapika vijana
kiukweli STAR TV INABEBWA NA DSTV TU ILA KIVIPINDI NI HAKUNA CHA MAANA.
umetiririka vzr ila umeharibu ulipojaribu kulinganisha na tv za kenya. tv inayoongoza tz kule kenya labda itashika no. 5. wenzetu kenya wako ulimwengu tofauti na ss kwn media.Star Tv ni moja ya Televisheni nzuri sana hasa katika vipindi vya mahojiano. Naweza sema ndio TV inayoongoza kwa kutazamwa na watu wengi hasa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu asubuhi. Hawa wana vipindi vinavyoleta changamoto kwenye ubongo walau kwa hapa Tanzania. Chanel ten hawawezi, ukiwafuatilia vizuri utagundua kuwa wengi wa watangazaji wa Chanel ten hawana elimu nzuri sana. Wana unazi fulani hivi. Dialo aliweza kumwajiri mdogo wangu Patrobas KAtambi wakati anajua ni kada tangu SAUT wa Chadema. Hivi ITV au Chanel Ten ingeweza kweli? Tuache masihara, hapa Afrika Mashariki ukiacha Citizen TV ya Kenya yenye vipindi bora kabisa, basi Star Tv inafuatia kwa vipindi vizuri. Binafsi Citizen TV inaongoza kwa habari za kufikirisha ubongo ikifuatiwa na Star Tv. Wanachokosa Star Tv ni technolojia yao ya urushaji matangazo bado haiko vizuri sana hasa kwa wachanganya picha.
Kuna ukweli. Karibu theluthi ya wafanyakazi wote hapo SAHARA wa vyeo vya juu katika sehemu ya habari ni wanachama wa CHADEMA.
kwa bongo itv haina mpinzani start tv ya 4