PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,172
Tangu Mweshimiwa Rais Alipo Apishwa Ndugu John Pombe Magufuli, Ambaye Alikuwa Kipenzi cha Star Tv Kipindi cha Kampeni Ambapo Star Tv ilizunguka naye kila Alipokwenda na Kwa upande Mwingine Kituo hiki kilikuwa Hadui Mkubwa wa Mgombea wa UKAWA Ndugu Lowassa.
Lakini Tofauti na sasa Ambapo ule unazi wa kuipendelea ccm hata pale inapokuwa na matukio muhimu ya kichama na kiserikali star tv imekuwa hairushi LIVE. Mfano leo kule zanzibari sherehe za uapishwaji wa Dk Sheni, star tv hawapo hewani zaidi ya TBC1. ITV. EATV. ndiyo wapo hewani. Hau ndiyo kwamba matarajio ya mmiliki kwa uongozi haukufanikiwa? Ndiyo maana mmekasirika?