Mbona hawapo hewani?Wamerudi kwa king'amuzi gani?
Huku nilipo haipo hewani wiki ya pili sasa na haija rejeshwa hewani kabisaaa!Wamerudi hewani na sauti ipo
Wanatafuta mteja waiuze ili walipe deni la Mh. Jpm hali tete kwaoStartv imepotea kwenye king'amuzi cha digteki kwa siku 4 sasa.wadau je kwenye ving'amuzi vingine star tv ipo?
Kwanini usiangalie cnn, bbc, aljazerastartv naikubali sana kwenye taarifa za habari za kimataifa akiunguruma Samadu Hasan. michezo pia wanachambua vizuri hasa ripoter wao Ahamed Ali. pia Dira ya Dunia satatu usiku.... jana nimesikitika sana kuwakosa hewani Startimes. nawaza kununua continental
zuku wamerudiSiku ya 4 sasa kwenye startimes hawasomeki