Hiyo TV haina mpango walishapoteza mvuto toka mwaka jana hata habari zao hazipo fare ni siasa tu ya ccm ! Huyo mkuu wao bora abadili mwelekeo wa matangazo vinginevyo watabakia kutangaza matangazo ya akina ndodi na mitishamba tu ! sisi huwa tunaangalia kipindi cha michezo na futuhi tu !! Ilifika taarifa ya habari iwe bar au hotelini au nyumbani utasikia watu wanasema toa hiyo weka ITV ! Wamekwishaaa na siasa zao kusifia ccm !!