katika mambo ambayo star times mmetokea kuniboa ni pamoja na hili..kubadilishiwa decoder mpaka kulipia elfu sitini ...mimi nilikua mkaazi wa dodoma kwa sasa nimehamia musoma..nilinunua decoder ya star times niliokua naitumia nikiwa dodoma kufika musoma ile decoder haishiki tena chanell yoyote nimekwenda ofisini kwao wamenambia nilipie elfu sitini ili nibadilishiwe decoder kwani decoder niliokua naitumia mim ni kwa ajili ya majiji na ninayopaswa kuitmia muda huu nikiwa musoma ni kwa ajili ya mikoani...hivi kiukweli nilinunua hyo decoder elfu sabini na tano mwaka 2012 kubadilishiwa decoder hyo hyo ni shilingi elfu sitini...katika hili star times badilikeni na muangalie na gharama ya maisha ya watanzania munaowahudumia..