INAUZWA Standalone server cabinet with sisco switch and firewall inauzwa

The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
966
970
Wadau nauza hii server cabinet ikiwa na top mounted cooling system pamoja na Sisco switch and Firewall kwa Bei ya punguzo...Niletee laki tatu na nusu uchukue....
350,000
Location mabibo external
0621973591.

NB: Kwa wanaoifahamu hiyo server cabinet ya ukubwa huu nayoiuza brand new inacheza kwenye milion moja nazaidi.
Pia inaweza itumia kama cabinet kwa ajiri ya music system.

20211114_123325.jpg
20211114_104001.jpg
20211114_125354.jpg


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Well atleast nimekutana na mtu anayejua gharama halisi ya hii standalone Server Cabinet plus attached network devices,
Chief nimeamua kuuza kwa gharama hiyo ambayo ni chini ya robo ya gharama halisi kwa vile project niliyokuwa nayo haikuwa na mafanikio sababu ya kukosa usimamizi.

Project ilikuwa ni kutoa mafunzo ya vitendo kwa Wanafunzi wanaosoma IT hasa kwa upande wa,Server configurations,Network Management and Network Security, Ilikuwa badala ya kutumia simulation mwanafunzi anakuja na kujifunza kwenye really device in really world case scenarios opportunities ambazo wanazikosa wakiwa vyuoni hata kwenye industrial field attachment kwa vile wanakutaka kila kitu kipo tayari.
Kariibu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hii Standalone server cabinet with top mounted Fan Plus Sisco switch & Firewall bado ipo wadau...Naiuza kwa bei hiyo ya chini mno kwa maamuzi yangu binafsi na sio kwamba sijui thamani yake
Hata hizo attached device nimetoa kama bonus tu kwa mdau atakayenunua...
Hivyo wadau punguzeni maswali anayehitaji leta pesa hiyo uchukue.
20211114_104007.jpg
20211114_104057.jpg
20211114_123312.jpg
 
Wadau hii server rack cabinet bado ipo...Mteja akiwa mdau wa IT kuna offer ya some other devices atapatiwa like wireless router or Huawei switch either of them
 
Samahani Mheshimiwa! Naomba kufahamu matumizi yake. Maana umetaja na mambo ya IT!
Mkuu wadau wa hiyo industry ya Information Technology nimewataja hapo kwa vile hizo attached devices ambazo nazitoa kama offer zinamatumizi makubwa kwao kwa upande wa Network Configurations,hiyo server cabinet ingawa unaweza ibadilishia matumizi lakini hasa hasa kazi yake kubwa ni kuhifadhia computer system zinazotumika kama server...nimejaribu kuzungumza kwa lugha rahisi kiongozi..kama sijaeleweka una swali linalohitaji ufafanuzi zaidi kwenye hilo karibu.
 
Wadau wanaotaka kuja kuiona tufanye biashara,leo nipo napatikana siku nzima fika Mabibo external kisha piga simu 0621973591
Pia wadau wanaokaa njee ya Dar Es Salaam on weekend kama leo naweza arrange usafiri ikakufikia ulipo.
 
Bado ipo wadau...wanaohitaji na wanakaa njee ya mkoa wa Dar Es Salaam,Nitachangiaa swala la usafiri ikufikie ulipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom