Kuna habari nimezipata leo kwenye daladala kuwa stand ya mabas ya mkoa inahamishiwa tegeta,swali mbona imehamia mbezi?ni kwa muda au? Ni vigezo gani wametumia kuhamisha hii stand hapo ubungo? Hakuna kaufisadi kweli? Nijuavyo mimi terminal haiwi nje ya mji,inakuwa center kwa ajili ya wakazi wote wa jiji, ubungo wanaweka nini?

Kama hii ni kweli basi nadhani itasaidia sana kupunguza msongamano wa magari hasa MOROGORO ROAD....mabasi yatakayokuwa yanatokea mikoa ya kaskazini standi yao itakuwa tegeta boko.......na yatakuwa yanatumia new bagamoyo road mpaka kufikia msata na yataendelea na safari kuelekea kaskazini.
kwa mabasi ya mikoa ya kati na kusini yatakuwa yanatumia standi ya mbezi na yatatumia morogoro road
mkuu unaonekana upo mbali sana na ulimwengu wa habari!
Ni kweli. Stand ya Mkoa imeshaanza kubomolewa kupisha mradi wa mabasi yaendayo kasi.
Kwa mabasi yaendayo Kaskazini, stand itakuwa Boko, na kwa yale ya nyanda za juu itatumika stendi ya daldala ya Mbezi.
Mabasi ya kaskazini hayatalazimika kupita Chalinze, badala yake yatapita njia ya Msata/Miono.
Shida niiionayo ni ukurupukaji wa serikali. Tonnage ya lami iliyowekwa stendi ya daladala ya mbezi itahimili uzito wa mabasi yenye kubeba tani zaidi ya 20 hali ilijengwa kwa ajili ya daladala?
Kuna habari nimezipata leo kwenye daladala kuwa stand ya mabas ya mkoa inahamishiwa tegeta,swali mbona imehamia mbezi?ni kwa muda au? Ni vigezo gani wametumia kuhamisha hii stand hapo ubungo? Hakuna kaufisadi kweli? Nijuavyo mimi terminal haiwi nje ya mji,inakuwa center kwa ajili ya wakazi wote wa jiji, ubungo wanaweka nini?
Mijitu mingine bana sijui imejuaje JF. Unasikiliza umbea wa kwenye daladala halafu unaamzisha uzi eti tetesi. Hivi tungeposti habari tunazosikia kwa walevi ndani ya vyombo vya usafiri server ya JF si ingejaa siku nyingi