motonkafu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2015
- 1,019
- 706
Hata kama mashabiki hawakumpenda huyu jamaa licha ya mafanikio makubwa alioipa stand kwani moja ya timu ambazo zipo kwenye nafasi nzuri tu ya msimamo wa VPL ila muonekano wa king cha wenu hauvutii ilo shati jeupe kila mechi namuona nalo, suruali haimpi heshima Leo buti lake limesogezwa kwenye kamera nimemuonea huruma. Kama hamjamlipa mshahara mlipeni basi akanunue nguo au mpeni jezi ya timu avae apendeze. Kina Kiemba, maguri, chanongo, selembe mpelekeni kocha wenu mtumbani akachague simpo baraka ndo zinaanzia apo. Uongozi wa stand mushemuni kocha mnunulieni ata suti apendeze.
Ni Mimi mkereketwa wa soka
Ni Mimi mkereketwa wa soka