Stand United kesho mnafungwa

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
nipo viunga vya kariakoo kuna habari kuwa simba wamekamilisha kila kitu kuna ushindi wa goli tatu kesho cha ajabu mpaka idadi ya magori wanajua
 
nipo viunga vya kariakoo kuna habari kuwa simba wamekamilisha kila kitu kuna ushindi wa goli tatu kesho cha ajabu mpaka idadi ya magori wanajua

Kama wamehonga sawa lakini haki ikitendeka mkia anapakatwa
 
Stand kufungwa na simba so issue, issue itakuwa pale mnyama akipakatwa
 
Utakaa sana Yes! Yes! Yes! Yes! Hatujatoka Rwagasore Street Shinyanga kuja kushangaa maghorofa Dar... Tumefata point 3
 
Yes! Yes! Yes! Yes! Yes ! Yes! Yes! Stand Utd Chama la wana
 

Attachments

  • 1412367068457.jpg
    122.4 KB · Views: 103
Pamoja na ugeni wetu kwenye Ligi Stand Utd haina njaa za kuuza mechi.. Tuna wadhamini wa kutosha wachezaji wenye ari na washabiki wenye mzuka Yes! Yes! Yes!
 

Attachments

  • 1412367625045.jpg
    34.9 KB · Views: 102
  • 1412367639715.jpg
    47.3 KB · Views: 86
  • 1412367717062.jpg
    20.8 KB · Views: 81
  • 1412367733392.jpg
    41.4 KB · Views: 84
  • 1412367753667.jpg
    103.5 KB · Views: 90
  • 1412367779552.jpg
    145 KB · Views: 84
  • 1412367815222.jpg
    78.8 KB · Views: 87
Tusubiri tuone kama kweli stand united atafungwa leo na simba au simba atapakatwa na stand united......
 
Tutawapigaje? Nyie wapiga debe!!!! Leo ni leo.
 
Mtasubiri sana!!! Yes! Yes! Yes! Yes! Leo mtajua Stand Utd ni wapiga Debe au laaah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…