Stamico kulikoni? Mbona kimya kimetawala!

Minze

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
21
Reaction score
4
STAMICO mbona kimya? Nafasi za kazi zilitangazwa October 2013 wakitafuta wafanyakazi 78, usahili ukafanyika mwanzoni mwa december 2013. Mpaka sasa bado hawajatoa majibu!

JF jungu kuu halikosi jambo. Nauliza kulikoni STAMICO? mbona kimya wakati vijana waliahidiwa matokeo ya usahili yangetoka december mwishoni mwaka jana? Wadau mwenye current information atujuvye.

Thanks
 
walisema mpaka January tarehe za katikat ya mwez.
 

Bwana Minze, nashauri usme posting zako kwenye thread iliyotangulia inayoanza na SHIRIKA LA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…