St. Paka Mweupe
Member
- Oct 13, 2012
- 58
- 49
We ni KE au ME? Huenda ukapata mpangaji kwenye mtima wako..
Me ni KE.
Me ni KE.
Sina imani na wewe' ID yako ya zamani ndio ipi?
Kweli mswalike..
Ujambo? Umelala je?
kama ni ke atakuja mdogo wangu st. Paka mweusi ,nadhani bado hajakabidhi lindo
Nalipenda hili jukwaa muda mrefu ila nilikuwa nawaogopa wanaume wa humu.
Naona kama vile mko Pea na wake zenu.
charminglady & @C6
sweetlady & nitonye
Madame B & Chimbuvu
watu8 & measkron
cacico, BADILI TABIA, Yummy & Asprin
Dark City & Kongosho
Nami niko single hivo nitafurahi endapo nitampata wa kuniburudisha.
Regards,
SPM.

Huyu jamaa ashawahi kuwepo hapa kabla nadhani wadau mmesahau tu...
Sina imani na wewe' ID yako ya zamani ndio ipi?