Shule za vipaji zimevamiwa na wasio na vipaji na ndio sababu ya kushuka kitaifa.
Abishaye ni yule tu ambaye hajawahi kusoma shule hizo na kujionea watu wachovu wakijiunga form one. A level wengi huwa wanajiweza ndio maana angalau ziko stable,nazungumzia za wavulana.