Habari wanakijiji,Naombeni msaada kujua utaratibu wa kujiunga na
S
econdari ya St.Mary Goreti ndugu yangu amemaliza form four anatafuta shule nzuri ya kuendelea A level.Akhasanteni nawasilisha.
Ni wakike au wakiume?as for a-level nafasi kwa girls znakuaga nyingi kuliko boys,so the earlier the better hamna interviews kwa advance unajaza tu form nakusubiri selection!gudluck...it's a nice school
Tayari uchaguzi wa Form Five kisha fanyika. Jaribu kama wote hawataripoti shuleni. Ndugu yako awe ameshinda Div.1 siyo chini ya pointi 14 vinginevyo hatachukuliwa. Shule ina ushindani mkubwa sana.
Tayari uchaguzi wa Form Five kisha fanyika. Jaribu kama wote hawataripoti shuleni. Ndugu yako awe ameshinda Div.1 siyo chini ya pointi 14 vinginevyo hatachukuliwa. Shule ina ushindani mkubwa sana.
Huyu naona alikuwa anauizia kwa mwaka jana ila pia hakurudi kutupa update. Ni shule nzuri na kwa Olevel imeshaanza kurudi top ten taratibu maana kwa 2011 na 2012 ilishuka hadi 30s sista alikuwa shule nafikiri admn ikashuka kidogo.
Mkuu kwanini unatumia multipal id? We si Mpigamsuli wewe???? Tutatumia id zote lakini personality yetu haiwez badilika na tutajulikana tu!!! Nasikika kuona hujaacha post zako!!