heheh nenda st joseph ukajifunze discpline, chuo utaenda kilasiku bila kupenda, jiandae kupiga paper mara kwa mara ila mtafundishwa vitu vingi sana. Kuna jamaa alikuwa anafundisha st joseph sasa yupo dit kwa upande wake anasema st joseph wanafundisha sana na hata kwenye project zao wako vizuri, ila waliosoma hvyo vyuo si wapo humu wamshauri dogo sasa.