mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Habari za jumapili wana JF
Hiki chuo cha st.joseph campus ya arusha mwaka jana walipokea wanafunzi wa mwaka wa kwanza ngazi ya shahada (education) kama walivyopangiwa na TCU. Sasa cha kushangaza wanafunzi hao baadae walipata taarifa kuwa wao hawasomei shahada bali ni stashahada tofauti kabisa na udahili wao unavyoonesha na hii imepelekea mgomo kwa wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza wakitaka kujua hatima yao ambao ulipelekea kusimamishwa masomo kwa mda. Na hv navyoandika uzi huu wamepewa notes ya kurudi chuoni lkn kati ya wanafunzi 600 waliosimamishwa wamerudi 147 tu ambao wamekubali kusoma hyo stashahada.
Sasa najiuliza ilikuwaje tcu wapeleke wanafunzi kwenye chuo ambacho wanajua hakitoi shahada?
Na je wanafunzi wa stashahada wanaomba kupitia tcu?
Alafu hawa wanafunzi wanapewa mkopo na bodi ya mikopo, je bodi ya mikopo siku hzi inawakopesha wanafunzi wa stashahada?
Karibuni tujadiane kuhusu hili mm binafsi linanichanganya