..ndugu zangu mliochaguliwa st marks dar..kama kuna yeyote anayejua cku ya kuripot kwa first year chuon tujuzane..cz wengine ata hatujui knachoendelea n kp...nawasilisha wandugu
..dah..ss mbona kama itakuwa n kaz sana..cz utajuaje malipo unayotakiwa kulipa..au fees structure haijawa attached na joining instruction..na kuhusu admission letter nazo tunapataje..?