nili apply HEALTH COMMUNITY kupitia NACTE leo ndo wamenipa majibu nimechaguliwa st JOHN COLLEGE OF HEALTH _ MBEYA sasa nimewapigia chuon wananiambia nafas walizopewa na NACTE zimejaa, nimewapigia NACTE wananiambia niende tu kama zimejaa nitapewa barua, sasa naomba anayekijua hicho chuo anijuze ada na mazingira yake yapoje???