Hiki chuo bana saiv wamehamia kimara kina koz nyingi tu za afya, wanafunzi wake wanalalamika sana kwa ishu za udhalilishaji wa kingono unaoendelea hapo chuoni asee binafsi ninafahamiana na wanafunzi wawili tofauti wote wapemba ambao walkua wanasoma hapo kwa nyakati tofauti na walkua wanasema wamekwepa kwepa kubakwa na mkuu wa chuo hicho "Sir Devy " ambae wengi wao wanadai pia ameathirika (hiv +) Rushwa ya ngono ni nje nje kwa uyu sir Devy na naskia wanadai mwanafunzi akimkubalia anakula maisha hapo chuoni. Kama Kuna mwanafunzi wa hicho chuo au kama kunamtu amewahi kupitia hii scenario ebu tupe hapa ili uyu jamaa achukuliwe hatua.