J Jasmin mziray Member Joined Jun 22, 2016 Posts 9 Reaction score 0 Nov 9, 2016 #1 Kwa anayeifahamu vizuri St Clara. naomba tujuzane Ada sh ngapi kwa mwaka .
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,194 Nov 9, 2016 #2 Tsh 1,200,000 namba ya head mistress ni 0685 049 537 muulize vingine atakwambia
J Jasmin mziray Member Joined Jun 22, 2016 Posts 9 Reaction score 0 Nov 9, 2016 Thread starter #3 Ta Kamugisha said: Tsh 1,200,000 namba ya head mistress ni 0685 049 537 muulize vingine atakwambia Click to expand... Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine.
Ta Kamugisha said: Tsh 1,200,000 namba ya head mistress ni 0685 049 537 muulize vingine atakwambia Click to expand... Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine.
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,194 Nov 9, 2016 #4 Jasmin mziray said: Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine. Click to expand... Hapana ila nakupatia ya makamu mkuu wa shule. 0767 358 273
Jasmin mziray said: Asante mdau nimeipigia inaita tuu vipi unaweza kuwa na join instruction yao ili nione kama kutakuwa na vitu vingine. Click to expand... Hapana ila nakupatia ya makamu mkuu wa shule. 0767 358 273
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,194 Nov 9, 2016 #5 Ila mashart ya hapo ni magumu, kuna mchujo wa hatari, mtoto kama ni kila.za na mtukutu wala usipoteze karo yako
Ila mashart ya hapo ni magumu, kuna mchujo wa hatari, mtoto kama ni kila.za na mtukutu wala usipoteze karo yako
tandoor Senior Member Joined Jun 10, 2016 Posts 170 Reaction score 128 Nov 14, 2016 #6 Thats why private schools zitaongoza daima kama hakutakuwa na mipango thabiti ya kudhibiti watoto watukutu na kutokufanya michujo kwa hizi shule zetu za serikali
Thats why private schools zitaongoza daima kama hakutakuwa na mipango thabiti ya kudhibiti watoto watukutu na kutokufanya michujo kwa hizi shule zetu za serikali