St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
73,819
225,606
Hello wateja wangu wazuri,
Karibuni mjipatie cake nzuri,tamu,zinazopendeza kwa ajili ya matukio mbalimbali kama birthday, graduation, harusi, engagement kitchen party etc.

Cake zetu bei ni rafiki, zinaanzia 15,000/- na kuendelea.

Small package foundant decorated cake 15,000/-

Buttercream decoration prices;-
500g simple decorated cake 20,000/- ,standard decoration 25,000/-
750g cake 25,000/-
1kg cake 30,000/-
1.5 kg cake 40,000/-
2kg cake 50,000/-
Etc...

Karibuni sana,
Delivery ni gharama za nauli tu kulingana na sehemu ulipo.

Tupo Mbezi mwisho
+255 787 530 827(Whatsapp itapendeza zaidi)

IMG-20230824-WA0033.jpg
 
Hivi inawezekana kutengeneza keki ambayo haina sukari nyingi/haina kabisa?
Inawezekana
Kuna recipe mbalimbali kulingana na mteja anavyotaka.

Kuna mwingine anataka sukari kidogo sana,nampikia kwa kutumia recipe ya sukari kidogo.


Mwingine anataka sukari nyingi
Nampikia recipe yenye ratio kubwa ya sukari.

Mwingine hataki mayai mengi
Naye hivyovivyo.
 
Hiyo icing sugar unaweza kuweka yenye sukari kiduchu? Kwanini zinakuaga na sukari nyingi sana?
Icing sugar ni ileile
Solution ni kupika cake yenye sukari kiasi kidogo,na wakati unakula,usipendelee kula sehemu zenye icing sugar nyingi, mfano pembeni.
Pia usile maua,maana ni icing sugar tupu..ama lah ,chagua kupambiwa bila kuwekewa maua.


...
Kupamba kwa njia ya foundant nadhani itakuwa chaguo zuri kwako maana foundant sukari yake si kali sana kama ilivyo ya buttercream.
 
Back
Top Bottom