Spy poisoning: US to expel 60 Russian diplomats

Spy poisoning: US to expel 60 Russian diplomats

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,302
_100570053_gettyimages-931433254-1.jpg

MAREKANI: Rais Trump ametoa amri ya kufukuzwa kwa wanadiplomasia 60 wa Kirusi, kufuatia Urusi kuhusishwa na shambulio la sumu kwa Jasusi wa zamani huko Uingereza

Tayari nchi za kadhaa za Ulaya zikiwemo Ujerumani, Ufaransa na Ukraine zimetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wa Kirusi katika nchi zao

Viongozi wa EU walikubaliana wiki iliyopita kuwa inawezekana sana Urusi ilihusika katika shambulio la sumu la Sergei Skripal(Jasusi) na binti yake kusini mwa Uingereza

Urusi imepinga kuhusika na shambulio hilo
==============

US President Donald Trump has ordered the expulsion of 60 Russian diplomats over the poisoning of a former spy in the UK.

Germany, France and Ukraine have also announced they are each expelling Russian diplomats.

Various other European countries have followed suit.

EU leaders agreed last week it was highly likely Russia was behind the poisoning of Sergei Skripal and his daughter in southern England.

Russia denies any role in the attack in Salisbury.

The US will also order the closure of the Russian consulate in Seattle, according to Reuters new agency.

The US state department said in a statement: "On March 4, Russia used a military-grade nerve agent to attempt to murder a British citizen and his daughter in Salisbury.

"This attack on our Ally the United Kingdom put countless innocent lives at risk and resulted in serious injury to three people, including a police officer."

It called the attack an "outrageous violation of the Chemical Weapons Convention and breach of international law".

In the US, 48 of the envoys to be expelled are said to be based at the Russian embassy and the others are at the UN in New York.
 
alishajipanga kwa lipi hivi urusi zaid ya tishio LA nuclear na gas anayouza ulaya ana kipi kingne cha kujivunia au kupambana na mabepari na mabepari now yanapambana kuhakikisha yanapata gas toka Qatar yakifanikiwa ujue kiuchumi urusi amekwisha maana hata hayo masiraha yote anayomiliki bila pesa huwezi kuya run unaposema urusi kishajpanga kwangu unadhan mabepari in wajinga hawajui wanachokifanya eeeh unadhan wanakurupuka
 
bado huijui urusi wewe
 
Yetu macho, tunasoma waraka Wa maaskofu. Wakati wenzetu wanachukia kudhuriwa raia mmoja tena Wa nchi nyingine sisi tunaendelea kuvumilia vifo vya wananchi wasio na hatia
 
bado huijui urusi wewe
hebu wewe Waterloo tupe uyajuayo kuhusu Urusi maana unawajua
Urusi na takataka tu kwa NATO
hana chochote azalishacho dhidi ya China, Japan Korea USA nk
Putin kaipoteza zana Urusi
 
huu ni mpango wa pamoja ulikuwa umesukwa . uingereza alikuwa chambo tu. lakini wanahangaika tu Russia alishajipanga longtime
Asante kwa taarifa waziri wa mambo ya kiusalama wa Russia, kumbe mmejipanga.

Akhsanta.
 
Putin ameimarisha sana urusi,ameifanya iwe taifa imara na linaloogopwa sana,nato na ulaya yote peke yao hawawezi kuhimili mashambulizi mazito ya russia,,urusi ina nchi(jimbo) katikati ya ulaya,KALINGRAD,hilo linawakosesha amani nato,katega satelaiti zake,ulaya yote ipo kiganjani kwao,,ulaya na usa wamekasirika lile jaribio la kombora lisiloweza kuonekana na kupigwa.
 
Yetu macho, tunasoma waraka Wa maaskofu. Wakati wenzetu wanachukia kudhuriwa raia mmoja tena Wa nchi nyingine sisi tunaendelea kuvumilia vifo vya wananchi wasio na hatia
wenzetu wanadeal na msaliti popote alipo
 
hebu wewe Waterloo tupe uyajuayo kuhusu Urusi maana unawajua
Urusi na takataka tu kwa NATO
hana chochote azalishacho dhidi ya China, Japan Korea USA nk
Putin kaipoteza zana Urusi

Wewe ni ukwaji hadi ubongo! Wenzio mambo tusiyokuwa wajuvi nayo, huka kimya kuficha ujinga wetu!!!
 
alishajipanga kwa lipi hivi urusi zaid ya tishio LA nuclear na gas anayouza ulaya ana kipi kingne cha kujivunia au kupambana na mabepari na mabepari now yanapambana kuhakikisha yanapata gas toka Qatar yakifanikiwa ujue kiuchumi urusi amekwisha maana hata hayo masiraha yote anayomiliki bila pesa huwezi kuya run unaposema urusi kishajpanga kwangu unadhan mabepari in wajinga hawajui wanachokifanya eeeh unadhan wanakurupuka

Qatar wapi wakati Ujerumani sasa hivi ndo inajenga bomba la Gesi kutoka Urusi kwenda kwao Ujerumani kupitia Poland.
Qatar haiwezi kuwa na Gesi ya kutosha kuihudumia Ulaya. Halafu hao Warusi na Wazungu wa Ulaya na Marekani ni hao hao Wazungu. Waacheni wazinguane wenyewe wanavyojua. Waarabu wa Pemba wanajiua kwa vilemba vyao.
 
Isingekuwa kwa vikwazo vikwazo vya mara kwa mara vinafanywa na nchi za magharibi dhidi ya Russia, nchi hiyo hadi sasa ingekuwa mbali sana kiuchumi.
 
Back
Top Bottom