Spring beds Vs wood beds

LH XiV

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
346
352
Waungwana habari,
kama kichwa kinavyosema, je ni kitanda kipi ni safi sana kuwa nacho ndani
kipi unakuwa comfortable na je kiubora vimekaaje?

bed.jpg
wood.jpg
 
Bora ni kile ambacho hakipigi kelele mnapokuwa kwenye shughuli.
 
Vitanda huwa vinakera vikiwa vinapiga kelele wakati wa shughuli,hasa ukizingatia mwenzako anakoroma saana baada ya shughuli nzito.
kwa jinsi ilivo wewe ni wa kulala chini kitanda hakikufai
 
Back
Top Bottom