WIMICKY JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 1,439 Reaction score 1,575 Jan 2, 2015 #1 Habari,samahani nina tatizo simu yangu aina ya Tecno m-3 imejiloki baada ya kuingiza namba yasiri isiyo sahihi nimejaribu kuizima na kuiwasha nikiwa nimebonyeza volume+ na power inaleta maneno haya (spreadtrum factory test phone test factory used)
Habari,samahani nina tatizo simu yangu aina ya Tecno m-3 imejiloki baada ya kuingiza namba yasiri isiyo sahihi nimejaribu kuizima na kuiwasha nikiwa nimebonyeza volume+ na power inaleta maneno haya (spreadtrum factory test phone test factory used)