kwanza kabisa download vpn inayofanya kazi vizuri zipo play store na app store nyingi tu, ukishamaliza connect vpn server ya u.s.a kama ni kwenye android ingia browser download spotify apk. kama ni apple unatakiwa ufungue icloud account location uweke u.s.a apo itakubali