Spotisfy app ni nn kwenye Android phone na iPhone msaada wenu plz.
Hhh mkiu bado hujamwmabia ni nini,atafanya yote ayo akishajua faida yakekwanza kabisa download vpn inayofanya kazi vizuri zipo play store na app store nyingi tu, ukishamaliza connect vpn server ya u.s.a kama ni kwenye android ingia browser download spotify apk. kama ni apple unatakiwa ufungue icloud account location uweke u.s.a apo itakubali
Me bnafsi situmii hiyo app mkuu lbda wadau wengneMkuu vp kuhusu Google play music mbn kwangu haileti music ya kustream kwenye app yao
kwanza kabisa download vpn inayofanya kazi vizuri zipo play store na app store nyingi tu, ukishamaliza connect vpn server ya u.s.a kama ni kwenye android ingia browser download spotify apk. kama ni apple unatakiwa ufungue icloud account location uweke u.s.a apo itakubali