josephwaara JF-Expert Member Joined Jun 18, 2016 Posts 304 Reaction score 640 Jul 13, 2019 #1 Wakuu naombeni usaidizi, nmenunua simu ina app ya spotify lakin nimeshindwa kuiwezesha ifanye kazi, kila nkijisajili inagoma.
Wakuu naombeni usaidizi, nmenunua simu ina app ya spotify lakin nimeshindwa kuiwezesha ifanye kazi, kila nkijisajili inagoma.
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Jul 14, 2019 #2 Tumia VPN, Nakula kiboga/mzigo kama kawa wa Spotify
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,297 Reaction score 46,755 Jul 14, 2019 #3 Mwana Ilala said: Tumia VPN, Nakula kiboga/mzigo kama kawa wa Spotify Click to expand... Na kusubscribe/kulipia ukiwa huku inawezekana??
Mwana Ilala said: Tumia VPN, Nakula kiboga/mzigo kama kawa wa Spotify Click to expand... Na kusubscribe/kulipia ukiwa huku inawezekana??
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Jul 16, 2019 #4 Yes. Inawezekana