Sis Simba hata tukipigwa 100 ni sawa coz tuna point moja nyuma ya anaeongoza kundi... tumepiga hatua ambayo Yanga hajaifikia kwa miaka zaid ya 10 ...hio generation mzee na mech hazijaisha
Kama kawaida yenu simba, magoli2 ya offside, yaani simba kucheza na marefa tuu hamjambo, ndiyo maana kwenye fair ground mnabugizwa ‘dala dala’ nyambafu zenu nyie!!!!!!