JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Nikifanya hivyo sitakuwa tofauti na hiyo crew ya Sport Extra ya akina Shafii, Kibwana na Mbwiga. Labda wao wakipata huu uzi waje wathibitishe kuwa walichokirusha hewani hakimpunguzii hadhi mchezaji wetu.Ungeweka apa ili wote tujue nini aliongea sio wote tunafuatilia clouds Mkuu.
Basi naww uache kuleta story za umbea kama huwezi kuweka hapa watu wakasikia kilichosemwa kama kina tatizoNikifanya hivyo sitakuwa tofauti na hiyo crew ya Sport Extra ya akina Shafii, Kibwana na Mbwiga. Labda wao wakipata huu uzi waje wathibitishe kuwa walichokirusha hewani hakimpunguzii hadhi mchezaji wetu.
Mkuu uli-bet nini!?Yote 9-10 stars wote n wanywa gongo
We ndio umetuletea hii habari sasa usipoweka kilichozungumzwa tutakuona wewe ni mzushi tu.Nikifanya hivyo sitakuwa tofauti na hiyo crew ya Sport Extra ya akina Shafii, Kibwana na Mbwiga. Labda wao wakipata huu uzi waje wathibitishe kuwa walichokirusha hewani hakimpunguzii hadhi mchezaji wetu.
Lengo la uzi ni kuwakumbusha waandishi kuwalinda vyanzo vya habari kwani taaluma yao inawafunza kujua madhara ya habari fulani. Lengo siyo kusambaza walichokitangaza. Ila kama wewe ni mtu wa mpira basi hiyo habari utaipata kupitia njia nyingine.Basi naww uache kuleta story za umbea kama huwezi kuweka hapa watu wakasikia kilichosemwa kama kina tatizo
Kama ulikuwa unataka kuwaambia clouds peke yao ungeenda kwny page zao katuka mitandao ya jamii ukasemea hukoLengo la uzi ni kuwakubusha waandishi kuwalinda vyanzo vya habari kwani taaluma yao inawafunza kujua madhara ya habari fulani. Lengo siyo kusambaza walichokitangaza. Ila kama wewe ni mtu wa mpira basi hivyo habari utazipata kupitia njia nyingine.
Mkuu, mbona hivyo? una maslahi kwenye hiyo habari? Toka mwanzo naeleza kuwa target ni wanahabari wote sasa wewe unashauri nitumie page za hao hao akina Mbwiga. Page ambazo wanauwezo wa kufuta kile wasichotaka kukusikia. Binafsi nafikiri JF ndo mahali sahihi kwani hawana access ya kuifuta bila kuwasiliana na Moderators.Kama ulikuwa unataka kuwaambia clouds peke yao ungeenda kwny page zao katuka mitandao ya jamii ukasemea huko
Tunataka ushahidi cy ujanja ujanja hapaWanabodi,
Ni kawaida vyombo vya habari kufanya interview na wachezaji wetu wanaofanya soka lao nje ya nchi. Hivi majuzi hao Sports Extra wamemhoji Msuva. Msuva naye ili kunogesha mahojiano akafunguka mpaka siri za bench la ufundi la timu yake. Siri ambazo ziliisaidia timu yake kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa. Bahati mbaya, Clouds nao wakairusha hiyo habari bila kuchuja kipi kiende hewani kipi kiachwe.
Binafsi nilisikia mpaka masikio yakapata ukakasi. Jambo la faraja ni kuwa interview ilikuwa ya kiswahili na coverage ya radio hiyo ni ndogo. Ila kama ingekuwa radio kubwa na zile timu walizozitoa zikiipata hiyo interview basi zitaweza kukata rufaa kupinga ushindi wa timu hiyo.
Nitoe wito kwa wanahabari, tujitahidi kuwalinda watoa habari wetu. Kitendo walichofanya Sport Extra kinaweza kumchafua mchezaji wetu na kuvuruga ndoto zake za kuwa professional player.
Sijataka kufunguka hizo janja janja ili kutozisambaza zaidi.
SafiiBasi naww uache kuleta story za umbea kama huwezi kuweka hapa watu wakasikia kilichosemwa kama kina tatizo
Basi usingeleta uzi kabisaNikifanya hivyo sitakuwa tofauti na hiyo crew ya Sport Extra ya akina Shafii, Kibwana na Mbwiga. Labda wao wakipata huu uzi waje wathibitishe kuwa walichokirusha hewani hakimpunguzii hadhi mchezaji wetu.