Splinter Cell Blacklist

Nikijaribu kuvuta iso na zbigz inakataa sijuui kwanini? Dark souls ii nayo imeshatoka. Nimeacha inquiry tuu
 
Ya kwanza ina lt 3.0 flash na xk3y kusudi itumie hdd alafu bado inakua xbox live safe.. and the second ina lt 3.0 only kwaiyo bado inabidi itumie discs

xk3y ulinunua hapa bongo nataka moja. nina lt 3.0 machin na moja ya jtag nataka jtag au xk3y
 
xk3y ulinunua hapa bongo nataka moja. nina lt 3.0 machin na moja ya jtag nataka jtag au xk3y

Xk3y nimeagiza. kama unataka jtag nafahamu mtu ambaye anafanya kwa job nikupe contact yake. Naomba unitume site unayoitumiaga kwa links kaka
 
Xk3y nimeagiza. kama unataka jtag nafahamu mtu ambaye anafanya kwa job nikupe contact yake. Naomba unitume site unayoitumiaga kwa links kaka

site nayotumia kudownload ni invitation only kaka na sina sorry. ila kama kuna game unataka nitakutolea direct links nikupe ila utumie mwenyewe tu nisije pigwa ban :shut-mouth:

nimekuPM namba zangu za whatsapp
 
huwa sipendi game za vita coz cast haonekani unaona bunduki tu. lakini hili nitalitafuta limetulia.
 
MI SIKUCHEZAGA KWA X BOX ,NILITUMIA PC, PANDORA TOMORROW NI HATARI.
YANI NILITUMIA GUN KUZIVUNJA BULB KWA KIASI KIKUBWA ILI NISIONEKANE.
KAMA UMEZOEA GAME YA VITA LAZIMA HUMU USANDE
"DONT KILL ME ,I AM AMERICAN"
 
splinter cell blacklist lilinishinda kiukweli.
Kunyata nyata huko ndiko nilichemka. muda karibu wote unakuwa panya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…