Hivi tulia anakosa nini hadi anakuwa na mwili wa hivyo? Yaani kamwili kamekomaa kama nini sijui!Tulia anqtumika tu kama dekio la chooni. Anasubiri amri toka juu...
Atakapo kimbia kama shotiii🚶Kaongoze wewe bunge
Tulia ni kibaraka wa mtawalaKwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?
Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa nini utake ushurutishwe suala la Halima Mdee na wenzake kuondoka bungeni wakati muhimili wa sheria umesha tafsiri kuwa hawastahili kuwa ndani ya jengo letu tukufu?
Unaujua utukufu wa jengo hilo ambalo hata Rais kuingia humo lazima kibali kitolewe?
Tafadhali onyesha mfano wa kutii sheria bila shurti kwa kutekeleza amri ya mahakama na muheshimu Rais ambaye ni mwenyekiti wako wa chama na ametamka kutaka maridhiano.
Kaka yako Ndugai alionyesha kumdharau yaliyompata unayajua basi nawe endelea. Lakini pia nasi wananchi tutakushukia kama mwewe.
Tunakupa mpaka saa 7 mchana uwe ume tii sheria bila shurti.
View attachment 2270261
Amri toka juu kwani ni utawala wa mbutuaji wako magu huu?Tulia anqtumika tu kama dekio la chooni. Anasubiri amri toka juu.
Kama Kuna kipindi bunge limewahi kupoteza hadhi yake na kuonekana kama kijiwe cha wahuni basi ndiyo ni wakati huu chini ya spika Tulia.
Mnyakyusa huyu kanyimwa sura na rangi kabarikiwa roho mbaya
Fatuma udini una msumbuaKwani Fatma Karume hajui kama Samia alikuwa msaidizi wa Magufuli?
Aache kupepesa macho kwa kipenzi chao.
Kwani mambo hayo bado yapo?Tulia ni kibaraka wa mtawala
Tulia wewe sister anguKwani mambo hayo bado yapo?
Si mungu wenu aliwaokoa mwaka jana na sasa mnaishi kwa raha huku mkiinjoi democrasia tele?
Wazee na wenye sura mbaya mwisho Kintinku na Bahi; Dodoma city wote ni "mabebi".....kwako Mwl. Tulia.Tulia anqtumika tu kama dekio la chooni. Anasubiri amri toka juu.
Kama Kuna kipindi bunge limewahi kupoteza hadhi yake na kuonekana kama kijiwe cha wahuni basi ndiyo ni wakati huu chini ya spika Tulia.
Mnyakyusa huyu kanyimwa sura na rangi kabarikiwa roho mbaya
Najua wataondoka Mjengoni.Wazee na wenye sura mbaya mwisho Kintinku na Bahi; Dodoma city wote ni "mabebi".....kwako Mwl. Tulia.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?