Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,846
- 3,373
kweli kabisa mkuu, wale wa SpeedAf agents wa Dar naskia ni wangese sana hua wanalalamikiwa sana, ila huyu wa Mwanza naona hana tatizo.Promo on air
Amna cha tangazo hapo mkuu, these guys wanatuokoa sana, imagine una agiza kifaa cha kidogo mfano transistor ya 3000, posta wanataka 5K, sio wizi kweli.Tangazo zuri
vipi mkuu mikubwa hupitishia posta nn.Na basically naona wameamua kudeal na hio mizigo midogo iliokua inaleta utata mkubwa
Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana.
Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama sijakosea, kwa uzoefu niliokua nao zamani ulikua ukitumia njia hii kwa usafiri, jiandae kusubiri miezi 3-mwaka au forever and ever, amen.
Ila kwa ujio wa SpeedAf hii ni mara ya pili naagiza parcel zangu na zinanifikia in less than 3 weeks.
Mzigo wangu nilioagiza tar 5/09/2023 umefika leo tar 18/09/2023. na hapo seller hakutuma mzigo siku hiyo hiyo, alituma tar 07/09/2023.
So ukitoa hapo utaona mzigo umetumia siku 11 tu, katika transport, na ingepita posta kama zamani kuna elfu 5 yao hapo kama sikosei lazima uwape hata uagize pilitoni.
NB: Vi parcel ninavyoagiza ni vidogo sana, vifaa vya PC na kadhalika, nna siku sijatumia AliExpress standard Shipping, so sjajua kama na yenyewe hua inapitia SpeedAf au ni posta(kwa mchawi mwenyewe).View attachment 2753543
🤷🤷🤷You can say that again
Alibaba makampuni mengi ya mle yanatumia makontena yao,huchukua siku 35, mara nyingiKwa sasa nna mpango wa kuja kujaribu kuagiza kitu from Alibaba au masoko ya ndani ya China, nataka shipping method nije nitumie meli, wazoefu mnipe ABC za hii kitu.
Wako poa sana leo nimepokea mzigo wanguAmna cha tangazo hapo mkuu, these guys wanatuokoa sana, imagine una agiza kifaa cha kidogo mfano transistor ya 3000, posta wanataka 5K, sio wizi kweli.
Hivi Bado wapo maana Mara ya mwisho ku order na kupokea Ni mwezi wa kumiWako poa sana leo nimepokea mzigo wangu
Yaan full shangwe
Hivi Bado wapo maana Mara ya mwisho ku order na kupokea Ni mwezi wa kumi
Wapo...
Shipoing method usichague ile sijui super economy au free shipping maana hizi mara nyingi mzigo hupitishwa posta...
Free shipping na ile cainiao ndo huwa natumia inakuja na speedaf ile standard shipping sijawahi tumia
Dhu kwa hio sa hivi ili ije na speedaf tutumie njia ganiHizo siku hizi ukitumia jamaa wanaupeleka posta na huko jamaa wana makato yao kutegemea na aina ya mzigo...
Kuna mizigo mingine TRA nao wanakuja panga lao...
Wako vyema sana. Hai jamaa..Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana.
Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama sijakosea, kwa uzoefu niliokua nao zamani ulikua ukitumia njia hii kwa usafiri, jiandae kusubiri miezi 3-mwaka au forever and ever, amen.
Ila kwa ujio wa SpeedAf hii ni mara ya pili naagiza parcel zangu na zinanifikia in less than 3 weeks.
Mzigo wangu nilioagiza tar 5/09/2023 umefika leo tar 18/09/2023. na hapo seller hakutuma mzigo siku hiyo hiyo, alituma tar 07/09/2023.
So ukitoa hapo utaona mzigo umetumia siku 11 tu, katika transport, na ingepita posta kama zamani kuna elfu 5 yao hapo kama sikosei lazima uwape hata uagize pilitoni.
NB: Vi parcel ninavyoagiza ni vidogo sana, vifaa vya PC na kadhalika, nna siku sijatumia AliExpress standard Shipping, so sjajua kama na yenyewe hua inapitia SpeedAf au ni posta(kwa mchawi mwenyewe).View attachment 2753543
Dhu kwa hio sa hivi ili ije na speedaf tutumie njia gani